Top Tweets for #bashite
@millardayo Sasa mgombea ubunge Arusha Anaenda nyamagana kuongea nini mbona kama ni ukichaaa we #Bashite@
@rollymsouth Huyu bado shuluwala anamuwasha, mpaka ampate wa kumkuna tena maana alikoenda bado hata #Bashite hamtaki. ACHIKA MWANAUME
Westerners wameanza kuongea lugha 1 baada ya AID WORKERS wa nchi zao kuuawa huko Gaza.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Israel ๐ฎ๐ฑ is like #Bashite.....
@godbless_lema Askofu Malasusa alikuwa hajazaliwa mwaka 2017 wakati Tundu Lissu alipomiminiwa risasi na #Bashite,ndio maana hakusikika

Hii Nchi Ukisha ingia kwenye Mfumo ni ngumu sana Mfumo uje kukutema.... #Bashite

Bashite unajisikiaje kuwa unaongea UONGO hadharani!?
#Bashite: Lissu ni mjanja ameona maandamano hayana maana!
#Lissu: Nitashiriki #MaandamanoYaAmaniDar kwa ajili ya mstakabali wa taifa letu.
Usipange KUKOSA kwenye #MaandamanoYaAmaniDar

๐ฆ2023_24
"Nakukumbusha tu jali sana familia yako sisi marafiki zako tutakula msibani na tutakuzika watakao fagia kabuli lako ni familia yako"..@jrngojo @millardayo
#Niaminimimi #2023TheYearThatWas #Bashite
@JumaMurigo @MariaSTsehai @HildaNewton21 Hivi viroba si nyanya ni maiti za watu ufukweni mwa bahari.Hizi zama za #JPM na #BASHITE zilifunga #Kiza totoro.Msiturudishe huko.#Ben saanane,#Azory Gwanda na wengine wako wapi? Msiturejeshe huko.
@MarekaMalili Dude build his kingdom now,just give a time.....ila mimi naamini yeye #bashite @AllyHapi watarudi kwa moto mwingine tena chini ya chief hangaya
#Bashite: from RC wa Dar to RC wa Insta. Maisha haya! โบ๏ธ

Unamuheshimu mtu tu viZur kumbee alirudia la darasa la nne ๐๐
#Bashite
@IAMartin_ Ila wasanii wa Bongo ni noma yaani jinsi #bashite anavyochakazwa na #Manara hakuna hata mmoja wa kumsaidia....๐คฃ๐คฃ
@mwigulunchemba1 Yaan we mwigulu ndo hunambii kitu,
Ivi mimi ndo wakuhamia #Burundi Kweli, yaani niikimbie nchi yangu kwa ajili yako!! ๐ค , ivi hata hujajifunza kwa #Bashite

Tunaongozwa na Rais Mwenye Huruma Asante sana Mama @SuluhuSamia SASA #BASHITE atuambie Ni nani Aliempiga Risasi @TunduALissu @NdugaiJob Atusaidie Mbunge Wake Anapigwaje Risasi Kwenye Viwanja


@officialkaunda Daaah...haya matatizo yote lawama kwa wana #Kigamboni hivi Walimwachaje #Bashite ๐๐๐
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.7M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers



















