Top Tweets for #dahuu
Kwenye #ZilizoKiki ndani ya #LeoTena dawatini imemfikia #MkubwaMarah (Josemarah) taarifa taarifa ya @SteveNyerere2 kuchaguliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki, haya ni mazungumzo ya #TeamLeoTena (@GeahHabib @MwijakuBurton na #Dahuu). Full Interview #YouTube #CloudsMedia
"Hiki ndicho kipindi ambacho watu wanajiachia sana kwenye mlo hadi kufika January wamekuwa wameongezeka. Faza Michongo ametuambia licha ya kwamba una Mil. 2 ulizoshinda za Mchongo Pesa lakini lazima uhakikishe afya yako ni bora, sasa sisi tumekuletea unga wa Ufukwe - #Dahuu

Comment yako itasomwa kwenye #LeoTena mpaka saba kamili mchana.
Cc. #dahuu @GeahHabib @josemarah #mwijaku

#Jahazi Vs #LeoTena
Jumatatu pale Kinesi huku zinapigwa hekaheka toka kwa #MussaHussein, #JoseMara, #DaHuu, #GeahHabib na timu yao #KivuleUTD kule wapo wazee wa town @CaptainTanzania #EphraimKibonde na #GeorgeBantu na chama lao #MakuburiFc
#WashtueWana

Marehemu "Sam wa Ukweli" akiwa kwenye moja ya interview katika kipindi cha #LeoTena cha #CloudsFm enzi za uhai wake ambapo #JoseMara #GeahHabib na #Dahuu walisifia sana sauti yake kuwa ni sauti halisi (Natural) wakiifananisha na sauti za wasanii #Alikiba na #Amini
#RIPSamWaUkweli
#MussaHussein, #Dahuu na #MamyBaby wanaongoza mjadala. Ni maswali, hoja na maoni kutoka kwa watu.
#NitunzeNikutunze #TulongeMazingira

βHii ni sehemu sahihi kujifunza misingi sahihi ya kufanikiwa katika biashara, wanawake tunaanzisha sana biashara lakini tunakata tamaa mapema mno. Lazima tutambue changamoto ndio #Fursa zenyewe. Changamoto hizi ni #KovuLaThamani kwetu ambalo ni kichocheo cha kuwa wewe #Dahuu

Wenye umbea wao hawa hapa #Dahuu #GeahHabib pamoja na #AnaTanya Usiku wa #MapenziMubashara #AslayNandyNaMarafiki

#TeamMlalakuwa #Dahuu akiwakilisha #LeoTena aliambatana na #manfongotz pamoja DJ wa #ManFongo uwanjani kufuatilia... https://t.co/OC6RRcFcmk
#LeoTenaCloudsFm
Unaelewa nini unaposikia neno chungu cha kumi katika mwezi huu wa Ramadhani?
Piga story na #Dahuu #MusaHussein #JoseMara.
#Dahuu utofauti wa heshima hiyo ni ipi?
@Madeeseneda hakuna kitu kizuri kama kuheshimiwa nikimuhitaji ama nikimuita anakuja muda wowote
#Dahuu kitu gani unampendea mchumba wako?
@Madeeseneda napenda jinsi mpenzi wangu anavyoniheshimu na ringia hilo Mimi. #MapenziMubashara
Kama mapenzi ni Adhabu Basi Moyo wako. #KaaNao @mwasitiJ |#LeoTena huyu hapa #Dahuu #Musahussein na kicheko Mtata.
NP Shindu #Snura |Ukitaka tena tunakupa tena #LeoTena na #Dahuu #MwanaDsm huyu hapa #KichekoMtata...!

#LeoTena NP Wangere #Hamadai jisogeze karibu na #Dahuu #MusaHussein #kichekoMtata Story Pambe hadi Saba mchana.

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers












