@JamiiForums Mimi nafikiri elimu iwekezwe zaidi kwenye kubadili mtazamo, nikimnukuu mmoja ya wazungumzaji kuwa wanaume wanachangia kwa kiasi kikubwa wanawake kujichubua, inashangaza hata baadhi ya watumishi kwenye mamlaka za kudhibiti kama TMDA na TBS nao wanajichubua