Mungu azidi kuwabariki na kuwainua wale wote wanaopitia nyakati ngumu Mungu anawaona hajatuacha peke etu anatuona kila tunalifanya anasubiri mda wake ufike atende makuu ambayo hutenda kwa wamuaminiyo tusiache kuomba Mungu wetu ni msikivu
Chini ya utawala wa Samia wanachama wetu wengine wamebambikiziwa kesi ya ugaidi.
Kwa Samia na serikali yake kuwa mpinzani wa serikali yake na sera za ccm ni sawa na kuwa gaidi.
Leo ni siku nyingine ya giza kwa Nchi yetu. Utawala huu dhalimu ulioua maelfu ya watu tarehe 29, Utawala unaoteka na kupoteza mamia ya watu, umeamua kuwabambikizia wanachama na viongozi wetu kesi nyingine mbaya ya ugaidi .
Uhakika ni kwamba tawala za aina hii duniani huwa zinaanguka kwa aibu na Utawala huu dhalimu utaanguka kwa aibu kubwa.
‼️HABARI MBAYA‼️
Nimepewa taarifa kwamba yule Mwalimu wa UDOM ambae alikamatwa kwa tuhuma za Maandamano ya 7/7 na kushikiriwa kinyume cha sheria.
Baada ya Mahakama kuamuru apewe dhamana, Serikali ya Nduli Idd Amin Mama imembambika kesi ya Ugaidi.🥹
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema chama hicho hakitashiriki katika mazungumzo ya maridhiano hadi Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atakapoachiwa huru na vikao halali vya Chama kuketi na kutoa uamuzi kuhusu hatua zinazofuata.
Heche ametoa msimamo huo leo Julai 22, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam, akisisitiza kuwa CHADEMA haitakubali kushiriki kwenye meza ya mazungumzo bila kuwepo kwa mpatanishi huru atakayesimamia mazungumzo kati ya pande husika.
Amesema kwa mtazamo wa Chama hicho, mazungumzo ya kweli yanapaswa kufanyika katika mazingira ya haki, uwazi na usawa, huku wahusika wakuu wakipata nafasi ya kushiriki kikamilifu.
“Hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila Mwenyekiti kuwa nje, hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila watu kuwajibika, na hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila mpatanishi ambaye atakuwa katikati. Hayo ndiyo mazungumzo ya maana,” amesema Heche.
#MillardAyoUPDATES
TUMEBAKIZA MILIONI 16 PEKEE KUFIKIA MILIONI 200!
TUENDELEE KUCHANGIA BARAZA KUU LA UMMA.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Mhe. Brenda: Mwenyekiti Tonetone imefika Milioni 174.5 mpaka jana usiku
Mhe. @TunduALissu: Waambie waongeze bidii, Baraza Kuu lifanyike
CHANGIA BARAZA KUU LA UMMA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Hakuna kitu kinawauma WAKOLONI WEUSI kama CHADEMA kuchangiwa na wananchi.
Chama kimefanyiwa kila hujuma kikose PESA-wananchi wameamua kukiendesha.
Chama kimepigwa kila vita kwa viongozi wake wa juu-wananchi wanaonyesha mshikamano kukifanya chama kuwa imara.
Tunaposema hiki CHAMA ni mpango wa MUNGU ndio vitu kama hivi-hii milio wanayotoa wakina GIRISHONI inatoka MOYONI, wameumia VIBAYA MNO.
CHANGIA SASA CHAMA CHETU.
0744446969
JINA: CHADEMA HQ
REPOST 200
Watanzania, Lissu anasema tuongeze Moto!!!
Haki, napenda mind set ya Lissu. Yani he gets it. Kuwa ni lazma tupambane sio mambo ya lege lege.
Ila huyu kiumbe huyu, dah!!!! Mungu alimuumba Lissu specifically for this very moment!!!!!!!!!