Treatment of Hepatitis B is never an easy job. I tried my best to make the Hepatitis B algorithm very simple. Here are the main points you have to follow 👇
First question I ask:
Is this ACUTE or CHRONIC Hepatitis B?
2013, Athletico Madrid needed a striker.. Andrea Berta signed Villa from Barcelona.
2014, they won the league!
2020, Athletico Madrid needer a striker.. Andrea Berta signed Suarez from Barcelona.
2021, they won the league!
2025, Arsenal need a striker, Andrea Berta signed Gyökeres.
2026:.........
Dah! Kumbe baba wa taifa hakujua intelijensia wala intelligence. Aliruhusu ideological classes pale chuo kikuu zilizompinga waziwazi na hata maandamano na baada ya hapo alienda kujadiliana na wale haini watarajiwa ana kwa ana. Hatari!!
Tarehe 22 Mei 2026, niliweka post hapa nikiuliza kama kuna mtu ana MikroTik router ambayo ningeweza kuazima. Sikutaka kununua — nilitaka kuazima tu. It was for our final year project, Ndio hivyo hii project ilianza.
Leo, it's a working WiFi Billing System, na ni Final Year Project yetu pale @udomtheofficial.
Inafanya nini: Huu mfumo unageuza MikroTik router yoyote kuwa self-service WiFi business — customer analipa kwa mobile money, anaingia online mwenyewe, na mwenye biashara anaona kila kitu kwenye dashboard moja.
Mteja anajiungaje: kuna njia mbili za mteja kuingia.
1. Customer anaconnect, anapelekwa kwenye captive portal, anachagua package, analipa na M-Pesa / Airtel Money / Tigo Pesa / Halo Pesa, anapata mtandao ndani ya sekunde. Hakuna anayemhudumia.
2. Mwenye biashara anagenerate batch ya vouchers, anaziprint, anauza pale counter kwa wanaokuja na cash.
Njia yoyote ile, voucher code inatengenezwa na system, inafuatiliwa na system, na inaexpire yenyewe. Na taarifa zote zinaishia kwenye dashboard moja: nani yuko online, voucher zipi zimetumika, zipi bado hazijauzwa, na kiasi gani kimeingia leo.
The architecture: hapa tumetumia MikroTik hAP lite inayotumia RouterOS kama hotspot gateway — hii router ni low entry, lakini tulinunua tulichoweza kumudu.
On the backend: Node.js inayoshughulikia vouchers, sessions, and reconciliation with the router + a MYSQL database.
Payment integration tumetumia Snippe (inamilikiwa na @NeuroTech_HQ ), ime-act kama payment layer ya mobile money na cards.
Ugumu wa hii project: sehemu kubwa ya hii project haikuwa coding. Ilikuwa networking, issues kama subnet mismatch iliyokuwa cancel kila request kimya kimya kwa siku 4 mfululizo. Issues za firewall rules zilizofanya kazi kwenye router moja na kuvurugika kwenye nyingine. Issue nyingi zilikuwa networking.
Dashboard ilichukua siku kadhaa. Lakini networking ilichukua wiki kadhaa.
Shukrani kubwa kwa Joe (@tzniceguy) — router unayoiona kwenye hizi picha ipo kwa sababu yake. Asante sana. (https://t.co/o1SPPWej2q)
Na kwa team iliyojenga hii pamoja nami: @Jovination_ , Plensia Lukosi, Pili Sona, na Juma Mzingwa. Tulipitia mengi.
Kama una hoteli, hostel, café, apartment block au ISP ndogo na bado unauza internet kwa vocha za karatasi na WhatsApp group — hii ndio alternative yako.
Lakini kitu ambacho sikutegemea kukigundua nikiwa nai-develop hii project: hii system sio product ya hoteli tu. Ni ya mahali popote watu wanakaa na wanapo wanasubiri.
Stendi. SGR. Hospitali. Library. Banking halls. Lodge.
Popote penye foleni, au watu wanapo kaa kuna watu wako tayari kutoa elfu moja bila kusita ili wa-enjoy wakati wana subiri — na kuna mwenye jengo ambaye hakusanyi hata shilingi moja kati ya hizo na anatoa WiFi ya bure.
Waiting time ndio kitu pekee kila sehemu inauza bure.
Kama hilo ni jengo lako, let's talk. Natengeneza vitu kama hivi. DMs wazi. 📩
Checki Kazi zangu nyingine: https://t.co/ibQ0o2CW8v
Req->Repost 🧵
@0x0256@99Zaburi@ShijaDenis@EsirEid@anon_codex@gabyconscious@Issa_Ally_Mdoe@revaycolizer@DadyUtenga@TOTTechs@NjiwaFLow@kimjisena@mafolebaraka@makeleletech@Kibali02@ankkala@salymdev@Neville983@Abuumaryami_008@j_kalebu@iamdastani@gregootz_@Lonerx_znz@elisha_bulalu
🤯 The easiest way to remember Celsius to Fahrenheit: every 12°C, the digits are inverted.
04°C = 40°F
16°C = 61°F
28°C = 82°F
40°C = (1)04°F
52°C = (1)25°F
Huu Ushuru Sirikali iuangalie Tena Purchasing Power Ya magari is going to be affected aisee..
.
Imagine Toyota RUSH Nje inauzwa $6500 Kama 16.9M Hivi Pesa ya Tunguu..
.
Halafu Tiarahei naona ushuru wanataka 15.8M Bila kupepesa Jicho mpaka hapo ni 32.7M..
.
Ukitia na bandari charges zile walizoleta 35M Hii Hapa Pesa iliyokua inanunua Harrier tako la Nyani..
We probably deserve another red card for that last post! But in all seriousness, congratulations to @Arsenal on winning the Premier League and a great run in the Champions League.
Looking forward to picking up the battle again with you next season.