Hongereni sana KKKT nyinyi ni Taasisi KUBWA.
Huyu Mch. Kimaro akiambiwa hasikii kaonywa sana analeta ujuaji, haya ni makosa yake.
•Kuleta Siasa Kanisani
•Kukejeli KKKT kwa kusifia madhehebu mengine (Roma)
•Kupromote UZINZI kwa kuwasifia wanawake Wa Kiislamu wanamaumbo mazuri
Poleni sana Waumini wote KKKT Kijitonyama
Mch.Eliona Kimaro hakuwa Mchungaji wa Kijitonyama peke yake
Wapagani na Madhehebu mengine tulibarikiwa sana na Mahubiri yake
Natarajia kumuona Kimaro Madhabauni tena,popote pale.
Mizengwe Makanisani inatuvuruga sisi wenye Imani changa.
Kitaifa CHADEMA tunazindua mikutano ya hadhara 21/01/2023 katika viwanja vya Furahisha, Jijini Mwanza. Hii ni siku ambayo tulipata usajili wa kudumu miaks 30 iliyopita. Shughuli itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 12 Jioni. Tutawafundisha CCM jinsi mikutano ya hadhara inavyofanyika.
"Hatuwezi kuendelea kuishi uhamishoni bila ukomo. Hivyo basi, ninapenda kuwafahamisha kwamba, panapo majaliwa, nitakanyaga udongo wa ardhi ya Tanzania kwa mara nyingine tena siku ya Jumatano ya tarehe 25 Januari, 2023, majira ya saa saba na dakika 35 mchana." Mhe. Tundu Lissu
Leo, Ijumaa, Januari 13, 2023 nitazungumza na Watanzania na Dunia kwa ujumla, kwa njia ya mtandao kuanzia saa 12 jioni. Sikiliza hotuba hii katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii.
Historia imefichwa na kufungwa kama bidhaa haramu. Ukweli hauelezwi na uongo unafundishwa hadi darasani. Mapinduzi Zanzibar picha za watawala waliopo madarakani zimetamalaki kuliko picha za John Gideon Okello na wenzake. Abeid Karume aliyekuwa DSM siku ya mapinduzi anaitwa shujaa
@MariaSTsehai Mimi niko poa kabisa Shangazi!! Uzima wako ndiyo furaha yetu wengi tunaokupenda! 🙏❤️💥
Maana twapata hakika kazi ya mapambano inaendelea na kusonga mbele💪 twakutakia heri Aunt🙏🙏🥰
“Narudi nyumbani kwenda kuzungumza na Watanzania kuhusu mambo yanayohusu nchi yao kwenye mikutano ya hadhara, narudi nyumbani kwenda kuzungumza na Rais juu ya nchi yangu maana amesema tuzungumze, siku ya kurudi nitasema siku chache zijazo." Mhe : Tundu Antipas Lissu.
"Bavicha tunataka kijana anapotaka kuanzisha biashara yake, basi apewe muda wa kuifanya kwanza ndiyo baadaye aanze kulipa kodi #TaxFreePeriod. Sio mtu anakatwa kodi kwanza ndiyo akaanze kufanya biashara, huu ni UNYONYAJI" Mwenyekiti wa BAVICHA taifa Mhe. @John_Pambalu.
Tanzania inanunua tani 1,000,000 za ngano 🌾 kutoka nje ya nchi na kwa mwaka Tanzania inatumia Sh trilioni 1.3 kuagiza chakula kutoka nje.
Wezesheni vijana katika eneo la fedha na masoko, vijana wafanye uzalishaji. Fungamanisha sekta ya kilimo na viwanda ili kutegemeana kisekta.