@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@Balyx_@DullahTheking2@MissChelsea1221 Tusimlaumu mtoto, yawezekana amewahi kupata ajali ya moto au anaogopa kwa vile anafahamu madhara yake. Mzazi huyu ana shida pia, hii sio sawa. Haya mambo ya kuiga tuachane nayo, ukimuuliza mzazi kwa nini anawasha mshumaa pengine hata yeye hajui
@zittokabwe Bora uyaongee haya wewe wengine hawataki kuelewa. Kwa sasa wasomi wengi ndio watu wenye uelewa mdogo hata waeleweshwe kwa mifano ya kutosha.
@nulphin@chiefodemba Huwa siangalii mahojiano yake, hajui kuongoza mazungumzo, si msikilizaji, anataka kusikia kile anachotaka kusikia yeye. Huyu ni mtafutaji kick tu. Mtu makini hawezi kwenda kufanyiwa mahojiano na huyu mara 2 hata hiyo 1 ni kupoteza wakati.
@KulujiM@SKachima@PKishamba Haya ni mawazo yako kweli , mambo ya msimu jana yanahusu nini? Mliambiwa wazee wale π
Mtapasuka tena, Tabora alikuwa na mapumziko ya siku 3 ninyi siku 5 lakini mmepasuliwa mapema. Jipangeni upya
@muhindimsukuma @SuluhuSamia@MariaSTsehai Kuna vyombo vinavyohusika na hayo yote, sio muda utasema asipumue kabisa kama vile yeye hana haki ya kutoa maoni yake