@rogegarg@MsigwaGerson Loss tunayopata + kutokuwa na umeme wa uhakika ni nafuu kununua. Hapa jambo si kuwa tunapoteza fedha, pia tunaimarisha sekta ya viwanda na uchumi kwa ujumla maana umeme ndio kila kitu
@rogegarg@MsigwaGerson Suala la kununua na kuuza halina mwisho. What to maintain ni kuzalisha umeme wa kutosheleza mahitajibya ndani. Kitu ambacho tumefanikiwa baada ya kujenga Bwawa la Nyerere la MW 2000+ sasa hivi tunapambana kuboresha njia za kusafirisha ili umeme ufike
@rogegarg@MsigwaGerson Hata kama gaharama ya kujenga ni ndogo for the time being tunachohitaji ni umeme. Better far ni kunua kupita kenya ambapo miundombinu yetu na wao tayari imeungana huku tukiendeleza ujenzi wetu. Pia Grid sio staight line, so huezi jenga line kubwa hivyo kwa ajili ya arusha na Klm
@rogegarg@MsigwaGerson Swali zuri. Hakuna namna ya kuzuia kabisa ila kupunguza. Namna ni kuwa na line ya msongo mkubwa wa umeme. Tulikua na 220kv now tunajenga 400kv hapo tutapunguza tatizo kwa zaidi ya 70%. Japo ni gharama kubwa sana ila hivyo hivyo tunasonga
@MjombaKidevu@MsigwaGerson Ethiopia ni mbali ila ispokua wao tayari wana line ya Kisasa 400kv ambayo imefika Kenya mathalani namanga mpakani kwetu. Sisi line yetu ni ndogo na chakavu. Namanga - Arusha ni 100 hivi km pia hata kwa upande wa Tz line ya kupokea ipo tayari
@MjombaKidevu@bob_mchelsea@Outset_Of_Omega@MsigwaGerson Line ipo tayari, tutatumia hiyo kununua umeme. Biashara ya umeme ni nipe nikupe. Unanunua ukiwa na mahitaji. Kama unajitosheleza hakuna haja. Jambo la muhimu hapana nikuwa na muunganiko na Nchi jirani ili kuwezesha kuuza na kununua
@rogegarg@MsigwaGerson Umeme wa ethiopia upoa tayari kenya hadi mpakani kwetu 120 km toka arusha. Wenzetu tayari wana line ya masafa marefu na umeme mkubwa ya 400kv maalumu kwa kuuza umeme nje hivyo haina loss. Pia hata kama kuna loss ni wao sisi tunachojua wantuuzia umeme
@bob_mchelsea@Outset_Of_Omega@MsigwaGerson Hii ni nipe nikupe. Ukiwa hauna mahitaji hakuna haja ya kuchukua kwa jirani. Tukimaliza ndani mambo yetu hatuta chukua. Lakini haimaanishi miundombinu itang'olewa laahasha itaendelea kuwepo.
@SaumuYanga@massawe42095@MsigwaGerson Yes ni contradicting. Ni kweli umeme upo mwingi kiasi cha kuuza nje shida ni means za kuuza nje. Like uwe na mazao mengi shambani na huwezi yafikisha mjini.