@Kaponda_077@Aruatani Nani alikwambia uwana harakati ni dhambi? Nyerere alikuwa mwanaharakati kabla ya uhuru na alifunguliwa mashtaka na serikali ya kikoloni, Mandela alikuwa mwanaharakati na alifungwa.
Wapigania uhuru wote wa Africa walikuwa wanaharakati.
@addsjustin@occybeby@Outset_Of_Omega@MsigwaGerson Arusha wameshavumilia muda mrefu kwa muda mfupi wa kumalizia matengenezo ya hiyo line watavumilia haina haja ya kununua umeme kutoka kenya au ethiopia
@Kanali23 USA wanakupeleka mahakamani wakiwa na ushahidi tosha wanaweza kukuchunguza zaidi ya miaka 20 ili kukusanya ushahidi na kuangalia ni aina gani ya makosa uliyonayo.
@TanzaniaLeaks Wapi ulipo unapokatiwa umeme? Mbona huku kwetu hauna shida? Mlianza kwa kusema leo kuna mgao mmefeli mmekuja na hii ya kukatiwa umeme kila saa
@HildaNewton21 @MdemuPolycarp Cost ya kuwekeza hicho kiwanda cha kuchakata mafuta na thamani ya mafuta yaliyopo ardhini uganda vinaendana?
Ujenzi wa kiwanda kama hicho nigeria cha dangote gharama yake ni kubwa sana, kuna sehemu alijenga mpaka barabara ya kupitisha mitambo na sehemu ya bandari
@SankaraT07@MwananchiNews Mkuu hii profile picture yako Kigogo amewaambia na yenyewe muache kuitumia maana yeye ndio aliitengeneza mkataeni shetani na kazi zake zote
@cw_pedro@zittokabwe Wewe vipi mkuu umeweza kutawala nafasi? Yaani huna account nono bank, huna viwanja, au unatushauri sisi tu halafu nyie mmejilimbikizia