@SimbaSCTanzania Team yetu ni mbovu sana jaman kama shabiki nimekosa amani kuona team yenye jina kubwa hivi inakuwa na performance ya mashaka Kwa kiwango hiki
@mshambuliaji Tanzania inaweza kuwa mmiliki wa eneo kama mwekezaji kama walivyo wageni wanamirikishwa na TIC lakin hili la Zanzibar kuwa na eneo Tanganyika sijaelewa walipewa kama wawekezaji au kama nani inawezekana Tanzania kuwa na ardhi Kenya ?
RAIS SAMIA MGENI RASMI BARAZA #EID JUMANNE.
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zubeir bin Ally akitangaza rasmi kutoonekana kwa mwezi baada ya kufuturisha leo katika Msikiti Mkuu wa Mohamed VI Kinondonin Muslim jijini Dar. @bakwatatz
@Roma_Mkatoliki Mtu anasema washitakiwa wenza na mbowe tayari wameshafungwa kabla ya hata kesi haijasikikizwa na mahakama na kutoa hukumu. SSH anaswari kweli
@Barongo01 Muogopeni kiongozi anaejiongezea ulinzi huyu mama anaamini hana haja ya ilemitambo na magari ya kigaidi maana anauhakika atatenda kwa haki. Usipo enenda kwa haki utakuwa na ulinzi mkari ukitenda haki utakuwa na wapambe au wasindikizaji