@iBoyMox Bibi umeyataka mwenyewe, wakubwa wenzio ukuwaona hiyo ndio faida ya kutembea na watoto,video imeonyesha wewe ndio uliokuwa unalazimisha,hiyo ndio faida yake,umeyataka mwenyewe kaa kwa kutulia,pumbavu zako
@Aduiwayanga Jezi ya Arsenal inausiana nini na mambo ya chama,Heche shabiki wa Arsenal na vilevile shabiki wa Simba,awezi kushindwe kununua jezi original, Acha ujinga toa uja nyingine
@BestH0PE@RevocatusMagum1 Uwezi toa pesa yote hiyo kwa mchezaji wa mkopo Yanga wamekurupuka lakini ndio faida ya mchezaji,tumempandisha thamani wajinga wameingia kichwakichwa