MUHRA warmly welcomes you to attend on this special event on welcoming new members of MUHRA, and making a strong foundation of human rights defenders within Mzumbe University and Tanzania at large. It will be on 25th November 2023 as indicated on the poster. Don't plan to miss!
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Kituo cha #Sheria na #Haki za Binadamu (LHRC) tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya majonzi ya kifo cha Mzee Aloys Hungwe Henga kilichotokea leo tarehe 07 septemba 2022 katika Hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam.
Wakazi wa Singida na #Ikungi, timu yetu kutoka Kituo cha #Sheria na #Haki za #Binadamu tutakuwa Ofisi za Mkuu wa wilaya Singida iliyopo eneo la #Bomani pamoja na Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Ikungi iliyopo Ikungi Centre.
05 - 10 Septemba 2022.
Msaada wa kisheria utatolewa bure.
01 Septemba, 2022 Kituo cha #Sheria na #Haki za #Binadamu kimefungua shauri namba 42 la mwaka 2022, katika Mahakama Kuu ya #Tanzania, Masijala Kuu ya Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa #Fedha na #Mipango na #Mwanasheria Mkuu.
Serikali imeomba Mahakama kuipa siku 14 za kujibu hoja.
Habari na @azamtvtz; Kituo cha #Sheria na #Haki za #Binadamu kimefungua shauri namba 42 la mwaka 2022 katika Mahakama Kuu ya #Tanzania Masijala Kuu ya Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa #Fedha na #Mipango na #Mwanasheria Mkuu.
Serikali imeomba Mahakama kuipa siku 14 za kujibu hoja
1/2
Habari #RafikiWaHAKI
Kuelekea siku ya Demokrasia Duniani Mtandao wa Klabu za Haki za Binadamu nchini unakuletea mjadala wa wazi utakaofanyika katika Mtandao wa Twitter kupitia Twitter Space na Mada kuu itakuwa ni, "KIJANA NA DEMOKRASIA: TULIPOTOKA, TULIPO na TUENDAKO”…
In their new article Janeth Alphonce, Cyriacus Binamungu and Seraphine M Baktadoi examine why #divorcing couples in #Tanzania bypass #conciliation boards, concluding the government attaches minimal significance to such boards.
@HumanMuhra
10.1017/S002185532200020
People With Disabilities have the right to information.They face so many challenges,measures should be taken so as to ensure that people with disability enjoy the right to information including seeking and receiving information.#FIFAfrica21 , #Netrights21#DigitalRightstz
Leo nimepata nafasi ya kushiriki kwenye maonesho ya nane nane jijini Mbeya, nikishirikiana na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora @chraggtanzania katika kutoa elimu ya haki za Binadamu na Utawala Bora na kusikiliza malalamiko yao. Shukrani nyingi kwa Said Zuberi kwa nafasi🙏
LHRC reaffirms her commitment to collaborate with governance stakeholders in the country and the African continent to support interventions that aim to strengthen democracy and promote human rights. #D4D2022
JE WAJUA?? Kumpa mtu kitambulisho chako cha taifa au namba ya Nida ni makosa kisheria? Na inaweza kusababisha kukutwa na makosa kama wizi, utapeli na ujambazi. EPUKA KUFANYA IVYO UWE SALAMA @humanrightstz@UDOMHRA#MyDataMyDignity#TaarifaZanguUtuWangu