Roho imeniuma, nimebaki nalia tu….
Hapana aiseee…, @SuluhuSamia@jmkikwete@ccm_tanzania Wapeni wamama miili ya watoto wao wazike. Mlificha na kupoteza miili mkidhani mnaficha ushahidi ila wale marehemu sio mbwa, wana familia zao, wana mama zao, ndio kama hivi mama zao wanalilia miili yao.
Mtalipia damu mlizomwaga October 29….
Hakuna cha kusini wala Kaskazini tena, nchi nzima iko nyuma ya Chadema. Hiki ndio chama kikuu cha siasa Tanzania kwa sasa.
Baada ya October 29 hakuna Mtanzania anataka kusikia kuhusu CCM tena. October 29 CCM wali prove kuwa hawajali kuhusu uhai wa wananchi, wanachojali ni kundi dogo ndani ya CCM kushikilia madaraka at any cost.
@swahilitimes Vurugu hapana lakini maandamano kupinga rushwa , wizi na serikali kutekwa na matajiri ni haki na muhimu.
Wizi umekithiri.
7/7 tutored kwa wingi kupinga rushwa
@leo_unsc@saint_Obeid Wazungu wanatoka ulaya na marekani kuja kutembea Arusha tanzania sio dar es salaam hiyo ni moja ya tofauti kubwa sana kati ya AR na DSM
Hapa ni Mpanda Mjini, Katavi
Watu ni wengi kama mchanga
Wananchi wamekuja wenyewe tu
Hakuna aliyelipwa au kusombwa hapo
Kazi ni moja. Kuyapelekea moto MaCCM
Kwa huu mtiti, lazima ng’ombe zitoe milio
Hii inaitwa ‘IGA UFE AU JARIBU UFILISIKE’
#KatibaMpya#FreeTunduLissu