@BbGTesha@commentar28834@ze_mandevu MIONGONI mwa wasanii wanaoweza kupangilia maneno kwenye interview kutokana na muktadha, basi Diamond yupo. Nashangaa anamtaja eti hakuna kitu😳
@Marakiungu@allyngUTD Upo sahihi, kama FTS 2015 ingekuwa na mwendelezo basi ingekuwa ni mobile football game nzuri kuliko yani. Sijui ilikuwaje hadi hapakuwa na mwendeleo wa First Touch