@Nindi_Jr kids next door
The Powerpuff Girls
Samourai Jack
Courage the Cowardly Dog
Megas XLR
Dexter's Laboratory
Ben 10
Foster's Home for Imaginary Friends
Johnny Bravo
My Gym Partner's a Monkey
Chowder
Good old days💔
@Nindi_Jr je julliet atafanikiwa kurudi na kuwaonya huku au atasitisha maji kuzidi kule kwa SILO lingine na kubaki huko na SOLO. Hii ndio swala la 2 linaloniumiza kichwa ukiacha na msala wa huyu mzee
@Nindi_Jr Firstly kwa nlivyoelewa mm PLOT ya hii movie ni FUTURE mbeleni na hizi SILO zilitengenezwa kwaajili ya kuwalinda watu na mabadiliko ambayo mpaka sasa hatujajua yamesbabishwa na nn kama ni NUCLER au mabadiliko ya hali ya hewa. ila hiki chuma ni kikali sanaaaa