Nawaelewa sana viongozi wangu wa majimbo kwenye hoja ila kauli sasa๐คฆ๐ฝโโ๏ธ. Unaposema โWatanzania lazima mjifunzeโ, ni kama unasahau tumekuchagua utuwakilishe, unatujua sisi na mapungufu yetu na huji hata jimboni kutuelimisha. Unamuwakilisha nani hapo ? Wewe ni sisi, usijisahaulishe.