@omaryHK@TMnyama4_ Wakati wa kikwete si ndio tuliupenda na kumuita mzee wa msoga mzee wa kuvheka cheka maisha yalikuwa safi je vipi wakati wa mwinyi?? Wakati wa mkapa si ndio waliuwawa waislam 7 acha huu watu wameuwawa nje na dini yani wameuwawa tofauti ila ule wa mkapa waliuwawa waislam kabisa 7
@omaryHK@TMnyama4_ Utawala wa magufuli si ndio alitekwa hadi tajiri namba 1 nchini?? Ben saa nane aliuwawa utawala upi?? Kwa mara ya kwanza nchini internet ilizimwa katika utawala upi?? Wafanyabiashara halalli kabisa waliporwa mali zao katika utawala upi?? Ulisikia waislam wakilalamika??
@automatiki @TMnyama4_ Jamaa wadini sana sisi waislam tunaisapoti chadema chama ambacho viongozi wa juu wote ni wakristo wala hatujawahi lalamika ila wenzetu tupo nao lakini hatupo nao kiufupi mimi nimejitoa
@gabyconscious Kimsimgi nimeshatoka katika njia yao inaonekana mioyoni mwao wana agenda ya udini which means wakichukua nchi watafunga miskiti yote na waislam tutauwawa sana aisee acha niungane na CCM tu
@lifeofmshaba Hchi ndicho kinachofafanya wapinzani msishinde mkitaka kuingiza chuki dhidi ya uislam, na kama mtastay hapo hapo kwwnye chuki dhidi ya uislam hamtatoboa mtakufa kama kuku sababu katika mapinduzi ya nchi hii mnahitaji watu wenye mioyo migumu na wenye plan kama waislam not otherwis
@Jooh86158883829@godbless_lema Samia anaweza kuwa hafanti sawa ila mbona hizi kelele wakati wake ndio zimekuwa nyingi?? Kwani wakina ben saa 8 si walitekwa enzi za magufuli mbona hamkusema kitu? Waislam mwembe chai waliuwawa wakati wa mkapa mbona mlikaa kimya??