@P_mpangala@Sativa255 Wenzetu wao ni chuki ya jumla tu kumbe ata sisi tunachukia dhulma ila sasa wao wanaona tunafaidi sijui nini na wapi? Au ndo hawataki ata oksijen tuipate nini?
@Sativa255 Unamaanisha waislam walinyimwa haki enzi hizo sio? Wakristu mna nia mbaya na waislam ila najua kuna watu ni wakristu ila wanania nzur na watanzania wote wewe Sativa unafikiri uliteswa na waislam kule mstuni au nani twambie
@Vicent_Kassala@Sativa255 Mapambano yenu wengine mumeobiwa kura na kifo juu si bora mungetoka tungesema mnapambania nchi aisee hamna mtetezi ila wenzenu wanaungwa mkono na wananchi wanatembelea kwenye hisia zao nyie hisia ziko mfukoni
@HildaNewton21@MsBrown_Tz Ninachoamini hizo kesi ni za kupunguza eti wanaendelea kutoa taarifa za ukatili ulofanyika ila naamini hatukubali kuwa kila kitu kina mwisho na mwisho umefika
@godbless_lema Lema Kipindi Kikwete anafunga Mashekhe wanauwawa walimu wa madrasa vita kule kibiti
Sikusikia ukiingiza neno udini ata kama ulikemea je huu udini unaonekana kivip? Je waislam ndo watekaji? Je watekaji si wakristu? Unawajua? ALLY KIBAO NI mkristo?
@Teacherfive_@PMadeleka Zitto wa sasa hivi sio yule wa zamani Zitto huyu haeleweki kama Mbunge Kasheku Msukuma sishangai akiingia bungeni na kupiga meza tu!
@annamatari995@IAMartin_ Kaka huyu kwenye sheria kashindikana Tanzania imebahatika kuwa na kichwa hiki sema tu bahati mbaya tuko kisiasa ila ata CCM tunamjua huyu mtu ndio maana najisemeaga aliyeleta vyama vingi ndo mchawi na Adui wetu vimekuja kutugawa na chuki ya ovyo