A Bro....๐ฆง| Pisces...โ| Veterinarian...๐ฉบ๐พ |Writer...โ๐พ It requires alot of brain to counteract the hand that go against the willingness.๐ฅด
Binti aliyekukataa mda mchache baada ya kumtongoza na yule anayekukataa baada ya mwaka na miezi kadhaa yakua pamoja katika mapenzi yenu maumivu ni yale yale tu, ila haya maumivu yapili ni baada yakugundua ulifanywa MJINGA kwa mda mrefu.๐๐ค๐
Jensen Huang says Nvidia would cut off a lab doing something too dangerous, but listen to the gate he actually sets: "If we know for certain that an application of our technology is bringing harm to people, of course."
Certainty of harm from a frontier model is a bar that almost never clears.
@ellykingu1 @Escape254 Angalia hii akiwa anahojiwa live na hiki ni kipindi kilimquote akisemekana hivyo kupigania mambo ya TRANSGENDER as a BLACK MAN ๐๐๐
@QSizya@udsm_icon Huyo manzi character yake haikupaswa kudumu maana REACHER huwa anamove kutoka sehemu moja kwenda nyengine so wahusika wapya wangejitokeza kila ilivyo. Aliyekuwa anamove nae ni yule NIGLEY kwenye season zote amehusika I think
@Leeza_billy The moment nimeona hii post imenipa ujasiri mkubwa sana wakuona yule girlfriend wangu ni hamna kitu na madharau anayoniletea with her beauty kumbe kuna watu bhana M/Mungu ameumba. UMENIPA NGUVU SANA WEWE DADA ngoja niendelee kumoveon taratibu ๐๐
@TMnyama4_ Kutoa mimba ni kuforce mfumo wa hormone kukataa ule ujauzito kwa madawa so kizazi bado kiko wazi kwavile umedisrupt hormone. Kupata mimba ni easy sana na chaaap