โ๏ธMzee wangu akaniambia tena pia Kuna vita ya kibiashara kati ya Mo Dewji na wafanyabiashara wengine
That's Why ndani ya Klabu wapo wanaopigisha shoti ili asuse walete wafadhili wenye maslahi nao
Pia Yale makampuni Fulani yapate urahisi kutumia chapa ya Simba SC
Kuna ile sauti inakujaga ukipata hela, inakwambia โHaya maisha mafupi kaka, jipende na kula vizuri, utapata nyengine kesho Mungu yupoโ
Hela ikiisha anaondoka.
Vinaitwa khofu. Vina asili ya ngozi vinafaa kuswalia. Hata kupangusa juu pia unaruhusiwa kuswalia kwa lengo la kulinda miguu dhidi ya kitu unachohisi kitaleta athari, mfano baridi nk
@SuluhuSamia Mh. Rais shkamoo. Kwa heshima mimi ni kijana mwenye ndoto ya kujiajiri mwenyeww binafsi na kuajiri wengine. Nimeshafanya jitihada zote muhimu za awali na kufanikisha shida kuendeleza mtaji ili kufikia malengo niliyokusudia tu. Naomba uuone ujumbe huu unisaidie.
@SuluhuSamia Mheshimiwa Rais. Kwa heshima mimi ni kijana mwenye ndoto ya kujiajiri mwenyeww binafsi na kuajiri wengine. Nimeshafanya jitihada zote muhimu za awali na kufanikisha shida kuendeleza mtaji ili kufikia malengo niliyokusudia tu. Naomba uuone ujumbe huu unisaidie.
Ivi kuna Ulazima wa Kila Habari isomwe ki-utani?
Wazee wa minyama, itabidi murudi tena kwenye group lenu la kipindi mutafute njia nyingine ya kuwasilisha habari.
Hili swala la kuweka Utani kwenye Mambo ya Serious now linaanza kukera watazamaji ๐
Yani utani unakuwa mwingi sana, hapo Mwanzoni, kuruka ruka while habari inayokuja sio ya kuruka ruka.
Haya sikilizeni kuhusu Gwajima kupotea..
Video kwa Comments ๐