@Rydx_017 Bolt ni kampuni ya hovyo kwenye usafiri haijawai tokea aisee hawana ushirikiano na wateja wao sijui tatizo ni nin Gyz Uber walikua na bei kidogo bt wale jamaa wako Smart aisee na ndomana huwezi kuta madereva wa kipumbavu pumbavu kule.
@zoetjesheeftX Mmmmh hii nayo ni red flag mwanamke anaongea mpaka mishipa inamsmama na sauti inakauka imagine apo ndio anatoa ushauri je ndompishane uyu sianaweza ongea mpaka new year n wanaume hatupendi pepeche kama hizi ππππ
@CrownMediaTZ Kuwqfunga mdomo watu ni kitu ambacho hakiwezekani. Hamuwezi zuia watu wasiongee wanacho kiona ni kweli huwezi zuia harufu ya mzoga usinuke hatakama umwagie perfume pipa hard truth