Nimeplay Hili Song Hapa Maskani Maza House Kaja Kuniambia Kanisamehe Hela Ya Umeme Anayonidai Kwa Sharti Moja Tu "Ikiisha Irudie Ongeza na Sauti na Bass Kidogo" ๐
Ngoja Ukitoka Hii Niweke Always On My Mind ya Daville na Sean Paul Wenda Akanisamehe na Hela ya Maji๐๐ซต
Mpango wa MUNGU kila wakati ndio ulio bora zaidi. Wakati mwingine mchakato huwa unakuja na maumivu makali. Lakini usisahau kwamba MUNGU anapokuwa kimya, kuna kitu anafanya kikubwa na kilichobora kwa ajili yako. Kuwa mnyenyekevu na mwenye Subra ๐
Huyu mshikaji ni moja kati ya watu waliofanikiwa kupitia betting mshikaji anapiga hela ambayo mtu aliye ajiriwa serikarini hawezi kuingiza hata alale kwa mganga.
Gambling inalipa ukiwa na mtaji lakini.