@SuluhuSamia Mhe. Rais, kuna mambo yasiyoeleweka kwenye fedha za ujenzi wa madarasa, temeke imepata 157. Changamoto imejitokeza hasa kwenye ununuzi wa mabati, wazabuni wamefikisha mabati site na sasa wanatakiwa kuyachukua mabati yao ili halmashauri ilete mabati mengine.
Mfano. Darasa moja linatumia mabati 54 unaambiwa walimu wanatakiwa kununua mabati 60 au zaidi. Hii inaathiri ununuzi wa vifaa vingine kwakuwa mabati yanachukua fedha zaidi ya makadirio, mtazamo wangu ni kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa kufeli kwa miradi hii hapa TEMEKE
@moran_mzee @kigogo2014@Ngaso6 Sina haja ya kufananisha mawazo yangu na yako kwakuwa hujawahi kuchangia na wala hujui thamani ya haki, furahia unachoamini ndugu.
Wenetu Wasiri sana. Kumbe Kocha wa TP Mazembe alikua na hili la kutujuza na Wala Hamsemi Jamani Sijapenda, hii huwezi kukuikuta kule kwenye MoGiven Simba App. 🤣😂😂😂