@dr_stoic1@kalage_jr anatia huruma?! ile ni kazi yake mzee kuzidiwa inatokea kwaio unamaanisha isra ndo angekua simba angeweza kumkaba pacome ?? 😅😅 ubora wa kapombe hauhusiani na isra kabisa mzee
@dr_stoic1@kalage_jr hata wanipe nafasi 10 za kupiga kura still naondoka na kapombe😁 msifie kuimarika kwake ila sio kwamba kapombe mbovu kwani walikua wanakaba mchezaji mmoja?