@Roma_Mkatoliki Kaka unadhan ni rahisi kudeal na hawa qatu zaidi ya miezi tunaongelea kitu kimoja... hawa wana pesa na wanacontrol media.. its not that easy but watz mpaka kufika miezi saba wanaongelea mauaji sio utani... ccm they are buying time... najua hata hawaamini
@Mwabuk2Boniface Wakili utasikia kelele za Msigwa akitoka huko akijipiga kifua kua Tanzania ni nchi huru... wakili unafaa uwape watu elimu ya humanitarian intervention kwenye international law wajue ina maana gan? Their goose is already cooked
@lifeofmshaba Unadhan hapo kuna cha nyerere hakuna kitu hapo wako wanaangaika kuhusu mswada utakaowekwa kesho kwenye bunge la marekani wanajua kitu kinachokuja ni kizito
@godbless_lema Lema unapenda sana kutia huruma... hao hawako huko tena... wameumiza watu wangapi hawa... yaan mimi ndo nampenda lissu... yaan bado unadhan huyu mama anachembe ya huruma au?? Au eti hajui acha mambo yako bwana
@Legend_Mtikila Hakuna mtu anayeweza kuingia kwenye maridhiano na ccm hayupo labda vile vyama vyao vya mfukoni... kukaa mpaka kuzungumza lazima hawe mtu wa nje tofauti na hapo twende hivi hivi tu tutaheshimiana kabisaaa
@MariaSTsehai Hakuna chombk cha habari kilichobaki sasa hivi hizo ni toilet papers za chama cha mapinduzi...
Wahariri wa hayo magazeti ndio waliotoka before tar. 29 october wakikemea maandamano, jingine lenye mashavu sasa hilo eti ndo mwenyekiti wao... these people are pathological liars.
@Thommunkondya Msaidizi wa Tundu lissu walimuumiza ksa hoja au kwa kipigo na pingu... siasa zs hoja ziliisha 2015... ccm hawana hoja sio chama tena... ni dola iliyojivika vazi la chama cha siasa
They set out to break you, but instead they built you.
They arrested you, charged you, and locked you away, believing prison walls could contain an idea whose time had come.
Yet every accusation became a microphone. Every courtroom appearance became a platform. Every day in remand transformed you into a greater symbol than you had ever been before.
Now they fear the very figure they helped create.
In trying to silence your voice, they amplified it. In trying to diminish your influence, they magnified it. In trying to bury your message, they carried it farther than you ever could alone.
Today, they find themselves confronting a reality of their own making, a movement strengthened by the very pressure that was meant to crush it.
The man they fear today is, in many ways, the product of their own actions.
Things will turn out well,
Keep standing your ground, JABALI.
Not too far from the end.
@MariaSTsehai Yaan makaburu waliweka mpaka speaker nje ya mhakama ili watu wafuatilie kesi ya mandela kwa uwazi... ccm wanafaa kujua mahakama sio lumumba au makao makuu ya chama chao... Yaan tumefikia wakati mahakama wameona kama nyumba za shangazi yao...
@Baradhuli2 Mahakama ni public institution sio nyumba ya shangazi yako... yaan mlivyo na roho mbaya hata makaburu wa afrika ya kusini waliruhusu watu kushuhudia kesi ya mandela waliweka speaker nje watu kusikiliza nyie waafrika wenzetu hamtaki? Hiyo mahakama sio jengo la ccm washenzi nyie