Happy new year everyone 🥂
Tunaingia 2026 na machozi yasiyofutika, ni ngumu kusahau damu zilizomwagika kwa sababu ya siasa OVU.
Tuendelee kumuomba Mungu aturejeshee faraja mioyoni mwetu, na awape adhabu inayostahili waovu wote waliotufikisha hapa.
Mungu IBARIKI Tanzania 🇹🇿🫶