❍ Mpaka september 2024 Watu 59,000 pekee ndio waliunganishwa na huduma ya Faiba Internet
Ofisi 10,000 tu ndio ziliunganishwa na Faiba
HOTSPOT business bado mbichi unahitaji ISP,kaSystem ya kulipia na sehemu yenye watu wengi.
Ikoje hii?��🏾
Naitwa Veronica Alphonce (27) mkazi wa Kipawa, DSM. Mwaka 2022 nilifunga ndoa bwana Lawrence John na tukaishi kama mume na mke. Aprili Mwaka 2023 nikiwa na mimba ya miezi 8, mume wangu alianguka bafuni na kujigonga sehemu ya nyuma ya kichwa kwenye sakafu. Tulimkimbiza hospitali lakini akawa amepoteza maisha.
Mwezi mmoja baadae nilijifungua mtoto wa kike na kumpa jina Clarence ambalo baba yake alikua amelipendekeza kabla ya kifo chake. Bahati mbaya mwanangu alizaliwa na tatizo la kichwa kikubwa (Hydrocephalus). Madaktari walisema maji yanayojulikana kitaalamu kama (cerebral spinal fluid) yamezidi kwenye ventrikali (ventricles) au nafasi zilizo wazi (cavities) kwenye ubongo.
Matibabu yake ni kufanyiwa upasuaji wa kuwekewa mpira maalumu utakaohamisha maji kichwani ili yaende kwenye mzunguko wa damu, external ventricular drain (EVD). Gharama za upasuaji huo ni 2M lakini nilishindwa kuzimudu kutokana na hali ngumu ya maisha baada ya kifo cha mume wangu.
Mimi Najishughulisha na kilimo cha tembele ambacho kinatosheleza mahitaji ya kula tu mimi na mwanangu. Kutokana na kukosa huduma kichwa chake kimekua kikiongezeka ukubwa kila siku. Pia amekua mtu wa kulia mara kwa mara, kushindwa kunyonya vizuri, utosi kuvimba na kupata degedege. Naomba watanzania wanisaidie mwanangu aweze kufanyiwa upasuaji ili nisimpoteze kama nilivyompoteza baba yake.
#MyTake:
Kwanza nawashauri akina mama tumieni Folic Acid mkiwa wajawazito. Tatizo la kichwa kikubwa (Hydrocephalus) na lile la mgongo wazi (Spina bifida) kwa kiasi kikubwa yanachangiwa na ukosefu wa folic acid wakati wa ujauzito.
Pili tujipe masaa 12 tu ya kuokoa maisha ya mtoto Clarence. Ifanye sadaka yako ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya mwezi Novemba iwe maalumu kuokoa maisha ya Clarence. M-PESA #0752581983, Tigopesa #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation. #RudishaTabasamu #LetLoveLead
Ndoto za Yusuph zilikua kuja kuwa Mhandisi wa umeme (Electrical Engineer). Na alipomaliza kidato cha 4 alichangua kwenda DIT. Wakati anasubiri matokeo akaenda kumtembelea kaka yake aliyekua mwanajeshi kambi ya Ngerengere, Morogoro. Na hapo ndipo kila kitu kilibadilika.
👇👇👇
🚨MZIGO MPYA UMEINGIA..‼️
Trousers za kitambaa kwa Tsh 8,000/= tu.
Trousers zmenyookaa🔥🌵
Bei ya kizawa ili kila mtu Ashinde💪🏽
Contact; 068 766 3394 / +255 61 883 3394
Location; Karume TBL
RT na wengne pia waone na sote Tupate🙏🏽
Hey Coubers! Big news — Coub is officially trending on Telegram! 🤘
To celebrate, jump into the Tasks Hub, spread the word, bring more Coubers, and get summm $COUB 🤘
P.S. Wen "Editor’s Choice"? 🤘🤑
Launch MiniApp: https://t.co/9BM5xETvab
Mmekula
Wali maini maharage 6,000
Wali beef maharage 6,000
Pasta X Beef curry 10,000
Wali kuku mboga mboga 8,000-12,000
Namba ya order: 0625198207
Karibuni sana 🫶🏼
Tunacharge 500 ya take away.
Tunapatikana:Sinza lion bus stop
Karibuni sana 🫶🏼
🚨MZIGO MPYA UMEINGIA..‼️
Bei ya Suruali za kitambaa ni Tsh 8,000/= tu.
Bei ya kizalendo ili kila mtu Ashinde💪🏽
Trousers zimenyookaa🔥
Njoo uchague mwenyew ile kitu roho inapenda
Contacts; 068 766 3394 / +255 61 883 3394
Location; Karume TBL
RT na wengne pia waone🙏🏽
TON FAUCET FRENZY PHASE 4: IT'S $CATS TIME, FAM! 😼💥
Yo $CATS gang, the time’s NOW! GOATS are throwin’ down some FREE $TON to fire up your stacks before the Cats show coming! 🤑🔥 Cats don’t just roll, we TAKE OVER!
💎 50 $TON in the pot for 100 degen $CATS warriors ready to scoop it up!
⏳ Deadline: 4AM UTC, Sep 30th.
How to secure your bag:
1⃣ Smash this link 👉 https://t.co/z7eS2b7s2h and wreck the TON Faucet Frenzy Phase 4 missions.
2⃣ Retweet this and spread the flames. 🔥
3⃣ Flex that $CATS balance screenshot in the comments. Show the world who’s boss! 💪
Don’t sleep! Grab that $TON bag before it’s gone! 💰 Let’s run it