@nyuki_malkia kuna ile wanasema ukiona mwanamke anashauri mwanamke mwenzie usiache kusoma kwani inakupa kujifunza namna ya kuishi na mwanamke, haya ni.madini sana..unaokoa ndoa kadhaa hapo bravo
@SimbaSCTanzania we jamaa kama kuna uwezekano wakuchingee sanam bwana hapo msimbazi unajua sana, team yetu katika mazingira yote upo Kama wanasimba tunakufurahia sana.@ahmed__ally Nguvu moja brother
“Any man seen kissing a man will face the law. America is not the land of evil. God destroyed a whole city because of homosexuality and we are not going to tolerate it. Movie producers who have been forcing such scenes into movies will be charged.
Here's my message to young people: you wouldn't let a bunch of old people decide what music you're going to listen to or what clothes you're going to wear – so don't let them decide your future.
Make a plan to vote today: https://t.co/V3uLF7XRqt
Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye.
Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo, Mo Dewji amesema “”Hii ni ramani mpya ya Mo Simba Arena, mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio yetu baadae, tunatarajia kujenga kambi bora ya mazoezi itakuwa na gym, majengo ya malazi, kituo cha lishe, bwala la kuogolea, kituo cha burudani, viwanja vitano vya kisasa zaidi ya hayo kujenga makumbusho ya klabu na kuanzisha chuo cha maendeleo ya Vijana ili kulea vipaji vya soka Nchini”
“Ili kufanikisha yote haya tunasubiri mchakato wa mabadiliko ya Simba kukamilika, tuko katika hatua za mwisho, ujenzi wa miundombinu hii unakuja na gharama kubwa, ni ngumu kuanza huu ujenzi bila mfumo kubadilika”
#MillardAyoUPDATES