@FurryL1961@ayubu_madenge Magari yote ya umeme kama ilivyo kubaliwa kwenye makutano wa Sydney Australia kwamba yatumie battery za lithium-ion battery sababu hazifi haraka.
@FurryL1961@ayubu_madenge Wamewaza market bro,sababu miaka michache baadae gari za mafuta zitazuiwa, Na hivyo usemavyo inawezekana lakini gharama itakua kubwa Sana kulimiliki gari, fikiri Kuna watu safari zao kwa siku Ni chini ya km 10 huyo mtu Gari itaaribika lini ilikufidia kila kitu gharama zitakua juu
@jackson_mamba @obby__davinci Panaruhusiwa kutembelea ila hutaweza kusogea Karibu Na ziwa kutokana Na harifu kali iliyopo hapo sababu ya kiwango kikubwa cha sulphur kinacho patikana kwenye maji
@labadina30 @obby__davinci Na ndio maana ndege aina ya flamingo wa pink wanasafiri kutoka kote duniani kwenda kutaga katika ziwa natron sababu hakuna kiumbe anaweza ingia kwenye yale Maji na aendelee kuishi salama