Tarehe 7/7 SabaSaba
KITAWAKA SAAANAAA!!
Kwenye hii Round of 32
๐๐ป
Argentina atamkanda Verde
Ataingia Round of 16.
Egypt atamshenyeta Australia
Ataingia Round of 16.
Tarehe 7/7 sabasaba
watakutana.
Utachezwa mchezo number 95
kati ya
Argentina vs Egypt.
Kitawaka sanaaa!!
๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ
Unajua kwanini kitawaka??
Kwasababu mmoja anasherekea Uhuru, mwingine anasherekea mapinduzi!!
Kumbuka mataifa yote haya mawili mwezi wa saba kwao ni mwezi mkubwa sana.
Argentina anasherekea uhuru July 9th
Egypt anasherekea mapinduzi July 23.
July 7/7 kwa moto sanaaaaa!!!
Zifungwe Big Screen Tu Mtaani.
Mechi kali hii.
@luja_aisha@MariaSTsehai@lifeofmshaba@IntlCrimCourt Hata mimi ndicho nilichogundua. Baada ya kufirwa huku akirekodiwa sasa anatumika bila kupenda. Asipotekeleza matakwa ya wanaomtuma ashatishiwa kuwa video zitaachiwa.
@MariaSTsehai@IntlCrimCourt Wamndambo ni wazi alifanyia mambo ya kishenzi kama kulawitiwa huku akirekodiwa. Ni wazi anaendeshwa, asipokubali kutumika kashaambiwa video zitaachiwa mtandaoni. Kwa hiyo han chaguo.
@gerino_andrew@emabilly2001 Hizo porojo tu Aisee! Kwa hiyo wanawake wenye kutumikia ndoa zenye shida ya umasikini uliokithiri wana_enjoy kwenye ndoa zao au sio!?
@Sisimizi3 Majizo bila shaka alikuwa anafaidika na uchawa kwa namna moja au nyingine. Maana kutumia fedha kuandaa hayo matamasha bure bure tu sio kweli. Kumbuka tamasha la "mama sijui kitu gani" pale Tanganyika Packers.
@Skinny36479503@Sirajitz1 Of course wameonewa. Ithibati ililetwa kwa kuwalenga baadhi ya watu hasa Masoud ambaye katuni yake ilionesha media kuwa toilet paper ya ccm. Ccm wako tayari kuumiza watu wengi hata kama lengo lao ni kumuumiZa mtu mmoja. Hao akina Kitenge ni collateral damage.