@chettezo@Fadhili95126783@millardayo Hivi hujui kuwa kuna speed elekezi unapopita eneo la hifadhi?mbona mnakuwa wajinga hivyo?
Sheria zipo ukizivunja utawajibika๐
@sylva87@zittokabwe@ACTwazalendo@TunduALissu Huyu ni mcheza kamali wa siasa,anafikiri watanzania wote wajinga,alimpokea membe kwa mbwembwe,akamshawi maalim seif kujiunga act na bado hajapa mgombea wa uRais,na sasa anamuunga mkono lissu,lissu huyuhuyu aliyemtimua cdm๐.
@SuphianJuma@BestaMlagila@ACTwazalendo@TunduALissu Ndio kusema hawa wanaoongea hapa huwatambui? kuficha matatizo yaliyomo ndani ya chama chenu nalo ni moja ya tatizo,na majibu mtayapata baada ya 28 oct.
@Lucy02387374@zittokabwe Sahau kuhusu uRais,zitto na chama chake hatoambulia hata jimbo moja,si ubunge wala udiwani,baada ya 28 nitarudi kukumbusha hili.
@officielsalome@ManenoIzaak Watakushambulia humu tu na wengine watadiliki hata kuku unfollow๐คฃlkn unafiki umewajaa, hutowakuta vituoni baada ya kupiga kura na wengine hawana hata vitambulisho vya kupigia kura๐
Ujumbe umefika na mwenyekusikia na asikie na asikie.
@officielsalome Bibie usipate nao tab unadhan watakaa bas! mtu muoga hata wa kuweka sura yake kwenye dp alaf anajinadi atakaa kulinda kura faken kabsa๐๐๐
@Doronkab@officielsalome Kenge huwa hasikii mpaka damu zichuruzike puani,
kulinda kura yako ni kuhahakisha unampigia kiongozi umtakaye,sio kubaki kituoni baada ya kupiga kura,sheria hairuhusu,kitakukuta kitu urudi kulialia humu.
@dna_bongo@zittokabwe Dunia nzima inawaunga mkono!๐, watanzania walio wengi hawawaungi mkono hawa mawakala wa mabepari,nchi ipo kwenye mikono salama hii,na kukuthibitishia hilo,hawa hawataambulia hata kiti kimoja cha ubunge.
@USAmbTanzania But the American Gvmnt has never responded to the voice of African americans who have been highly deprived of their rights to live in peace in Ameica,better practice what u preach you hypocrites.