@NMBTanzania Asante kwa maelezo mazuri,lakini mimi mfanya biashara mdogo wa duka la Tiba asili (Granton Herbal Clinic) TIN nilikuwa nayo lkn saivi natumia Kitambulisho cha Mjasiliamali. Taarifa za mapato yangu kwa siku ninayo NIDA nina namba tu, vingine vyote ninavyo labda kama maelezo mngn
@MjombaMjombeni @bbcswahili@VOASwahili@usembassytz@IMFNews @WBTanzania Mnashindwa kujishughulisha kujipatia kipato umekalia umbea Media
@WBTanzania inadeal na serikali sio omba omba kama wewe unaekaa kwa shemeji yako
@CloudsMediaLive Kuna watu wameanza kukosoa na hili ๐๐๐
Watanzania tupunguze Ujuaji usio na tija,. Tulishapata Uhuru, ni mhimu sana kutunza kumbukumbu lkn ni vzr zaidi kudeal na Afya za watu kupunguza vifo na kulinda Nguvu kazi