@Sativa255 Tukiacha siasa, sisi wakazi wa Mbeya ndio tunaijua changamoto haswa ya hawa watu wa bajaji barabarani. Yes kauli ya RC inawezekana ilikuwa ina mapungufu lakini ukweli utabaki kuwa Bajaji ni chombo cha kukodiwa na wao walivyogeuza kuwa kama daladala shida ikaanza hapo
@oflay_george Thinking tanks zetu zinashida mahala pakubwa sana, 3 years ago maonyesho ya 88 yalifanyika kimataifa kwa mara ya kwanza Mbeya na aliyekuwa waziri wa kilimo alisuggest maonyesho yawa yanafanyika viwanja vya John Mwakangale na Mh Rais akatuonyesha Master Plan, leo hakuna mabadiliko
@MarekaMalili The people you keep around ndio wanakusaidia kutoka katika nyakati ngumu, imagine unago through hell na wale wanaokuzunguka ndio kama wanazidi kupalilia moto?
At this moment we shouldn't be surprised, tumeshuhudia hata kwenye public transport ni rahisi kwa mwanaume kutoa seat kwa Mama mwenye mtoto mchanga kuliko mwanamke mwenzake
@Getrude_mollel Hili swala la TEC unalipush sana, unajua shule za kanisa zina kiwango cha ufaulu kinachotakiwa kufikiwa kabla ya kwenda kidato kinachofwata? Ukiwa mjinga jaribu kupunguza kuongea ili jamii nzima isijue wewe ni mjinga
@MarekaMalili Nguvu inayotumika kwa taasisi hizi ingetumika kukemea maovu na mabaya yanayofanyika nadhani uchaguzi huu ungekuwa rahisi sana kwa CCM, kitu ambacho watawala wanakisahau ni kwamba Watanzania wengi wameshachoka kuona mazuri ya nchi yanaliwa na watawala na circle yao