@SuluhuSamia Hellow Mom. Naamini Mungu ni mwema kwako. Ni mwema kwangu pia. Rais wangu kwa heshima ya kipekee naomba kushauri kwamba ukipendezwa Jimbo la Ukonga likigawanywa mara mbili Ile Jimbo jipya liitwe PUGU siyo Kivule. Lengo ni kuenzi jina la shule aliyosoma baba wa Taifa. Ahsante.
@Cleophas8692791@MwanzoTvPlus Yaani ni aibu kubwa. Ingekuwa koo zenye akili wasingekubali wosia chafu kama hiyo. Hata kama huo wosia imeandikwa na marehemu mwenyewe na watoto na mamao kukubali.
Ukiishi Ulaya kama inakuwa mjinga kwa baadhi ya mambo ya msingi.
@MwanzoTvPlus Mnawezaje kusuport wosia changu kama huo. Yaaani mzee mzima na ana mji wake UTEGI mnakubaliana akili zake za kizungu kwamba anazikwa UZARAMONI. Kwani wosia ni BIBLIA haibadiliki??? Mahakama zipo ukoo mnakwama wapi? Mke wa sarungi ni mzungu na watoto wanakubali wosia chafu. AIBU.
@MariaSTsehai Poleni sana Maria. HAKIKISHA BABA UNAENDA KUMZIKA UTEGI ILI WANANCHI WA JIMBO LAKE WALIOMPENDA NA KUMPIGIA KURA MIAKA YOTE NAO WAWEZE KUMUAGA NA KUMZIKA . MSIFANYE KOSA YA KUMZIKA HAPA UZARAMONI. HATA KAMA ALISEMA AZIKWE HAPA DAR AU LAH. TENGUENI HIYO KAULI YAKE. KAULI SI BIBLIA
@Sativa255 Halafu bado unadai kwamba serikali ya mama haijaleta maendeleo. Hiyo ndege unayopanda ni Yako umenunua kwa pesa Yako au ndege ya babako. Heshimuni serikali. Acheni kuropoka.
@Labella_Mafia95 Mme maybe hata kama ana pesa but bado ni mshamba sana. Pia ana sura mbaya kupita viwango. Huo mdomo tu ni kichefuchefu. Hakika hamisa kuingia hapo ni Tamaa ya pesa na ku-loose hope juu ya kupata Mme sahihi.
@godbless_lema Lema utumishi wa Mungu umetoweka ndani Yako kabisa. Uchawa kwa Lissu imekufanya umeweka nyufa Kati Yako na Mungu. Kwa haya yanayotoka kinywani mwako imetudhihirishia kwamba wewe ni mpagani full. kuhusu Mungu huwa unaigiza tu. Mtu wa Mungu wa kweli ana upendo kwa wote habagui.
@mti64637@AnnaTibaijuka Kaa kwa kutulia. Kwani hapo Professa kasema Nini kibaya? Mbona ni kama baadhi ya watu wana tatizo la afya ya akili jamani? Anna Tibaijuka kaeleza vizuri na hata wale walokuwa gizani wameelewa. Kama kusema Rais Samia kashasema kwa kumteua Janabi kwenda kugombea nafasi. Wewe vipi?