@sonnino123 Kuna uhusianao gani kati ya muda wa kuamka na mafanikio?! Yaani una mchongo saa 10 jioni, halafu uamke saa 11 asubuhi,nyumba yenyewe ya kupanga bora ingekuwa yako au ya baba yako unaweza kuendelea na kazi za kufyeka majani na usafi mwingine
@mwalimu_lucas@Gang_star1999@fbuyobe Hana ushua wowote ni nguchiro fulani ambaye tangu kazaliwa hamjui mama wala baba yake.wakishua hawana mashaka na mambo madogo madogo