Wananchi Same wakiwa kwenye maandalizi ya Kumpokea @TunduALissu Wamesema hawazichomi Moto Ila waje wachukue au watawapelekea kadi zao
#88Nyeupe#ChangeTanzania
"Namkaribisha Rais Magufuli, tutakapopitishwa kuwa wagombea tarehe 26,08,2020 tufanye mjadala wa hadhara, utakaorushwa mubashara kwenye Televisheni, kati yake, mimi na wagombea kupitia vyama vingine, tuzungumze jambo lolote kuhusu TZ, kwa lugha yoyote atakayochagua." Mhe. Lissu