ALERT 🚨 Terrible news from #Tanzania 👉🏽 Opposition party @ChademaTz office for Northern Zone in Arusha has been destroyed by fire in what appears to be arson according to party officials
Party presidential nominee @TunduALissu started yesterday his tour of the Northern Zone
Tayari wameshaanza tangu 2017 @ChademaTz wamekuwa wa matukio ilikujipatia umaarufu kisiasa hapa @LemaGodbless ameona hawezi kutoboa.
Sasa ili ahakikishe anakuwa Habari ni kufanya tukio kipindi hich @TunduALissu anaziara hk.
Hawa ndo kila siku wanajitapa wanaintelejensia makini.
Ofisi yetu ya @Chademakaskazni imechomwa moto na kuteketea yote usiku wa kuamkia LEO...ikumbukwe Mgombea URAIS @TunduALissu ameanza jana ziara ya kutafuta wadhamini KANDA ya KASKAZINI!! Tunawaambia @ccm_tanzania....#VITISHO vya KISHAMBA sasabaaaaaaaaaaaaasi ✊✊
#TAARIFA_YA_AWALI
"Usiku wa leo, watu ambao hawajatambulika hadi sasa, wamevamia ofisi zetu za Chadema Kanda/Mkoa na Wilaya Arusha, wamechoma moto kwa petrol na kufanya uharibifu mwingne. Tumeshirikiana na jeshi la zimamoto,polisi na wadau wengine hadi sasa." Katibu (M)wa Arusha