@mangekimambi Ukiwa kibaraka Unakuwa mtumwa kumbe. CD ya Iran na Tanzania haziendani Ila utafanyaje sasa ili usaidike lazima umfurahishe Boss 😅
Hata mjinga wa mwisho kuamini Iran kuna shida ni ngumu, US mwenyewe anajua ndio maana hakutaka kumpiga kwanza kabla ya Israel, hard to whitewash
@TanzaniaLeaks Maalim Seif alikubali ikawa heshima yake mpaka leo na mwanzo wa GNU kule Zanzibar; kama ni kweli basi ukiona mtu anaekataa mualiko wa kuongoza pamoja ujue hana nia njema na Uongozi kabisa.
Ninawatakia nyote kheri katika maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Kwa miaka 62 tumeendeleza dhamira ya msingi ya Mapinduzi ya kujenga jamii ya watu huru, yenye utu, yenye maendeleo, umoja, haki, amani na mshikamano.
Sote tunao wajibu wa kuendelea kuzilinda tunu hizi na kuzirithisha kwa vizazi vijavyo, kama tulivyorithi toka kwa waasisi wetu.
Hotuba yangu leo Januari 15, 2026, katika Sherehe ya Mwaka Mpya wa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) kwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania, Wawakilishi wa Heshima na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, Ikulu, Chamwino, Dodoma.
@LarryMadowo Locked and yet he was able to record the same ? How come nowdays International Outlets employ some fools like you ? Media house is doomed tbf
@LarryMadowo So he used drone? But this isn’t drone shot. If locked how he managed to get that recording,
It’s high time for Kenyans to grow up face their poverty not dealing with Tanzania 🇹🇿, happy Independence Day