@George_Ambangil@BillyTronix1 Ni kweli ila pia inabidi uangalie na haina ya wachezaj ulio nao amfano kwa teta goal linapatikana ila unaona kabisa kuna ugumu uefa final ilkuwa penarty kwa cty ww mwenyewe uliona na wako 10..ila england hawana mabeki wazuri kiivyo..ndo maana mda wote so mabeki wanaokoa ni kipa
@George_Ambangil@JMariotz Kaka nakataa sawa tulipaki ila teta hakufanya sub ka za tuchel ndo maana game ikaenda 120 na istoshe teta alpak ila alkuwa na siraha nyuma so kama england