Hello,
Today we feel honored and blessed to announce @frank_frugence as our firs royal customer.
We thank you for trusting us in most of your design projects. Your contribution means alot and we are forever grateful.
SERIKALI YA BRAZIL NA MAREKANI ZILIVYOFICHA SIRI UJIO WA ALIENS.
Tukio La Varginha (Roswell ya Brazil).
Tarehe 13 Januari 1996 Komandi Ya Anga Ya Anga Ya Amerika Kaskazini (NORAD) ilitoa tahadhari kwa majeshi ya Brazil, kwamba kuna kitu kisichotambuliwa (UFO) kilomita 300 katika anga la mji wa Sao Paulo.
Wakati jeshi la Brazil linaanza kuchukua hatua walikuwa washachelewa na wageni walishaingia kitambo sana. 👽 Aliens.
WHAT WE DO
./OUR SERVICES/.
Motions |Logos | Fleyers |Posters
Advertising |Brand Development |Creativity and Content Creation |Social Media And Marketing |Promotions & Advertising |Strategy &Identity.
Kuhusu hotuba ya Rais leo;
1. Ametumia muda mwingi kuzungumzia Chadema kuliko kilichompeleka kwenye mkutano. As the result Chadema imekua agenda kubwa kuliko mkutano wenyewe. Hapa Chadema 3, Msajili 0.
2. Hana taarifa sahihi jamii inavyomchukulia. Aache kukumbatia "chawa" atumie vyombo vyake kujua hali halisi ilivyo mtaani. Ni tofauti kabisa na anavyojiaminisha. Watu wamemkinai.
3. Anadai kuunda kikosi cha kufuatilia maoni mtandaoni na kuyafanyia kazi. Awamu ya 5 kilikuwepo kikosi kama hicho na wakosoaji walipotea, kukamatwa na wengine kuumizwa. Je anataka kuturudisha zama hizo za giza?
4. Anadai anapenda kukosolewa, lakini ukimsikiliza dhamiri inakataa. Angekua anapenda kukosolewa leo TEC wangealikwa. Unapuuzaje nguvu ya Kanisa lenye nusu ya Wakristo wote nchini?
5. Chawa wamemwaminisha wanaomkosoa wanamtukana. Hawawezi kutofautisha ukosoaji na matusi. Kupinga mkataba wa bandari sio matusi. Kutetea Wamasai wa Ngorongoro sio matusi. Kudai Katiba mpya sio matusi. Wapuuze wanaokuaminisha hivyo.
6. Anasema uhuru wa maoni una mipaka, lakini anaamini yeye ndio mwenye kipimo cha kuweka hiyo mipaka. Wanaotoa maoni yasiyomfurahisha anadhani wanatumia uhuru wao vibaya 🤣
7. Waliomwambia JPM kwamba Katiba ni kitabu kisichoweza kuleta maendeleo, huenda ni haohao wanaomwambia SSH kuwa Katiba ni kitabu tu, kinaweza kuwepo na kisifuatwe. Ni aibu kiongozi aliyeapa kulinda Katiba kutamka maneno haya hadharani.
8. Watanzania wanataka Katiba mpya sio elimu ya Katiba. Katiba ni vile jamii inavyotaka kujiongoza yenyewe. Watanzania wanajua wanataka wajiongoze vipi. Walishatoa maoni yao Tume ya Warioba. Hawahitaji kufundishwa tena kuhusu hilo.
9. Mabalozi walioalikwa leo kuna jinsi wamebadili mtizamo wao kwa Rais Samia. Wengi wamekua "disappointed" na hotuba yake. Ni hotuba mbovu zaidi tangu aingie madarakani.
10. Tusubirie zile ramli za Polisi kwamba "Taarifa za kiitelijensia zinaonesha uvunjifu wa amani, hivyo mkutano wenu umezuiwa"
Kwa kifupi SSH ameturudisha zama za "jiwe" kwa muda mfupi sana. Hakuwa na pumzi ndefu kama tulivyodhani. Mwaka mmoja tu wa mikutano ya siasa tayari amechoka na anatamani kuifuta. Tuna safari ndefu kufikia demokrasia ya kweli.!
@malisa_gj
Hello,
Today we feel honored and blessed to announce @frank_frugence as our firs royal customer.
We thank you for trusting us in most of your design projects. Your contribution means alot and we are forever grateful.
WHAT WE DO
./OUR SERVICES/.
Motions |Logos | Fleyers |Posters Advertising |Brand Development |Creativity and Content Creation |Social Media And Marketing |Promotions & Advertising |Strategy &Identity.