Leo nikiwa china nimemchangia kijana mwenzetu SATIVA . USHAURI WANGU KWAKO "Achana na makundi ndugu yangu , Rafiki wa kweli atakushauri uwajibikaji wa kujitafutia mkate wa kila siku . Asante kaka Mungu akuponye .
@EzekiaWenje upo sahihi kamanda wangu. Mungu azidi kukupa nguvu ,afya na hekima .chadema tunakuitaji bado tuendeleze mapambano ktk kuifikia democrasia .
@VitusNkuna@HusseinBashe Yaani kahawa Uganda inafika Hadi tsh 4500 kwa kilo ili Hali kyetwa na Karagwe ni tsh 2000 kwa kg.kwa Sasa mfumo wa mnda nao ni tatizo, solo lipo ila serikali inatutaftia walanguzi wa kutibia wakulima ,kwa mtindo mwingine
@IAMartin_ Huu ndio uhujumu uchumi,tunawakamata wanao tafta kwa jasho vyao na wakichelewesha kodi ya laki tunawafunga kwa kosa la kuujum ,lakini tunawaacha hao matembo.
Katiba mpya ni Sasa
@nyuki_malkia Mrudishie pesa zake, maana anapo kupa hela ukatai na vizawadi unapokea lakini umtaki,rudisha kila kitu chake uone kama atakuwa na maumivu ya kuachwA.hapo utanishukiru maannna hata visasi avitakuwepo