Ukiwa na umri wa miaka 27+ na umeshamaliza masomo yako labda upo kwenye harakati na una mahusiano yako serious na unamalengo yako na huyo mtu mje kuowana ikitokea huyo mtu wako amekusaliti au amekuacha kwenye kipindi hiko ni risk sana kwa Afya ya akili..๐
@JamiiForums Sio uzembe wa wanafunzi kuna wanafunzi wana hali ngumu za kimaisha kweli na wazazi wao hawana uwezo sasa kama mtu ana boom kwann msimpe mkataba akafanya mhitani then anapo sign boom lake mumkate juu kwa juu angalieni utaratibu mzuri sio kila mtu anauwezo wa kulipa ada kwa wakati
#HABARI Migogoro ya familia na imani potofu kuhusu uzuri wa maisha ya jiji la Dar es Salaam, kunatajwa kuwa chanzo cha kuendelea kuwepo kwa ongezeko la watoto kutelekezwa katika kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli ambapo wengi wao hushindwa kuwa na taarifa rasmi za ndugu zao wala mahali wanapokwenda.
Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Manispaa ya Ubungo anayesimamia kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli jijini Dar es Salaam, Naamini Leonard, akizungumza na #EastAfricaTV kuhusu hali ilivyo kwa sasa katika kituo hicho amesema licha ya mikakati mbalimbali inayowekwa kuondoa changamoto hiyo lakini bado watoto kutoka maeneo mbalimbali wanatelekezwa kituoni hapo.