@Rastaman_255@ibabu1@mnazi36 Hesabu hazijakaa vizuri, ilikua 2014 kama sio 2015 kipindi bajaji znapewa namba zao special hizo gari ndo zikaingia vipisi
@HKigwangalla Dkt @HKigwangalla Umeandika vizuri sana wasipo yazingatia haya wanapoteza dira hii tweet iweke Pinned 2025 after uchaguzi haya ndo yatakuwa matokeo.