Marahaba. Pole kwa mama na familia kwa changamoto. Kazi kubwa tayari imefanyika kulipa mafao ya walioguswa na zoezi hili na bado inaendelea. Uongozi wa Wizara ya Ujenzi pamoja na TBA watawasiliana nawe/mama ili kupata jawabu.
@HistoriaYetu Balozi Machimbo, huyu aliyekaa kushoto kwa Profesa Sarungi jina limenitoka ila namjua, pia wa pili kutoka kushoto namjua ila jina sikumbuki
Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania JOWUTA Selemani Msuya akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa MISA Tanzania Salome Kitomari