You will tweak for the onyibos, but when it comes to their interests, they will squeeze you till your intestines pop out.
*I believe they own ruto proper(that ICC noose is always dangled over his diabolical head)
Asanteni Watanzania, asubuhi hii tumetimiza milioni 42 mahitaji ya baraza kuu la wananchi ni milioni 334.. Bado tuna mda kama haujachanga tafadhali Fanya hivyo..
Tuma mchango wako kwa namba hizo hapo Kwenye tangazo, voda au NMB bank.
Kila mtu achangie kile alichonacho.
Usafirishaji wa Parcel bongo unahitaji upate jamaa mmoja mwenye mtaji mzito aliye serious awekeze mikoa karibu yote!!
kuna mabilioni kwenye hiyo biashara
@ChrisBennet_ Wakitumia lori unakuwa unaumia wanatuibia kwa speed ndogo so watumie usafiri mzur na wa haraka kutuibia, copper na sulphur ni madini potential sana kwenye energy production, mashirika binafsi ya wazawa wapewe fursa ya kuinvest umo
@Thommunkondya@kanyinyi255 -Zzk anajua kabisa hakuna haki kwenye box la kura na anaruhusu chama kushiriki.
-ni kweli mnampenda sana Mh Lissu adi mnamfungia sehem moja ili mumuone for your own time.
-over 15 bullets! What a love Thom?
@CuthbertSweetb2@Mwabuk2Boniface@SimonC7 Lines zako zinadhihirisha wew ni mzalendo kuliko sisi,kwamba kwa natural resouce tulizonazo haziwezi kutunufaisha kubalance kupanda kwa mafuta while Ethiopia tuliyemzidi natural resouce bei yake ya mafuta iko kawaida na wala haijawa affected kama sisi,
🔸Name: Razaki Juma Mbegelendi 🇹🇿
🔸Age: 17 years old
🔸Nationality: Tanzania 🇹🇿
🔸Position: Winger ⚡
🔹Profile of a direct winger with explosive pace in transitions, strong attacking 1v1 ability, excellent timing of forward runs, accurate crossing delivery with his right foot, good defensive positioning and intense out-of-possession pressing work rate , Also shows valuable versatility , able to perform effectively as a left winger/ right winger/ centre-forward or second striker .
#Morocco2026 #TotalEnergiesAFCONU17 #youthleague #scouting #africa #Tanzania #EastAfricanFootball
❤️🏆 Arsène Wenger on Mikel Arteta bringing the Premier League title back to Arsenal F.C.:
🗣️ “I called Mikel to congratulate him. I had to.”
🗣️ “I wanted him to know what this means to me and my family.”
🗣️ “I am happy he lifted the legacy and made sure the joy I brought to the club returned after such a long drought.” ❤️
Wenger then delivered one final emotional message to Arteta 👀
🗣️ “Please never let this glory fade again. Let it become a daily routine.” 🔴⚪️🏆
Mimi kauli yangu ni ile ile, CHADEMA inahitaji kuchora mstari mzito sana kwenye eneo la integrity. Kuna userious wa kitaasisi unaopaswa kuonekana na kulindwa kwa wivu mkubwa.
Chama kikigeuka kuwa danguro ambalo yeyote anaweza kujisikia kuingia na kutoka atakavyo, ni changamoto.