Katika siasa kama hamtofautiani katika principles .....zitabaki tofauti za majina ya chama labda na rangi za bendera na walio shika dola na wasio na dola
Penz ni kikohozi Kulificha uwezi, Lina nguvu zaid ya Umeme na halijengwi na cement , Apendae vingi hatoshiba Nyongeza #KadiNaUaRose@FidQ keep good music Alive ndo namna hii sasa
Ndani ya karne hii tuliyopo sasa ni asilimia chache ya vijana waliopata mafanikio, katika asilimia 100% ni vijana baadhi ndio waliweza KUTOBOA kimaisha (Kufanikiwa). Sawa na asilimia 15% kwenye 100% na asilimia 85% iliyobaki wapo nyuma kimaisha. Vijana wenzangu tuongezeni juhudi.