Tumebaini kituo hewa kata ya NYEGEZI mtaa wa IBANDA ofisi za MWAUWASA. Kwa mujibu wa orodha ya vituo MWAUWASA ina kituo 1 tu lakini ukienda ofisini unakuta kuna vituo 2 tofauti na orodha ya vituo na idadi ya mawakala tuliowaapisha.
Retweet π tufikishe ujumbe huu kwa wote.