@MariaSTsehai Hakufanya kosa, alitaka vijana tufanye KAZI
#tujipambanie ili tuje tucheze pool tukiwa wazee na ikiwa kama #Burudani na si kama tunavyocheza leo kama #Kamali.
R.i.p #JPM ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
Hata #Malaika so Wakamilifu ndo maana alitokea mmoja #akamsaliti Mungu, mimi so mkamilifu nisijue wewe mwenzangu. Mi ni kama Nguo yenye #tobo wapo wenye uwezo wakuniokota wakanishona na kunivaa.
๐ Ee.. Baba Mungu nipe watu wenye uwezo wakunikosoa nakunishauri vyema.
@eastafricatv Siku zote watu wema hawapemdwi.
Na waovu huonekana wema.
Tanzania ni nchi pekee ambayo #Waovu usafishwa na kuwa Wema, huku #Wema wakitengenezewa #Zengwe nakuonekana Wanauza.
๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญR.I.P #JPM
@MwananchiNews Hizo ni #Siasa ukweli unajulikana.
Miaka 5 ya Magu kulikuwa hakuna #Mgao lakini miezi kadhaa ya ndg, migao kibari.!!!!!๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
Serikali ya #Tanazania kwa 90% imejaaa wanawake, ningelikuwa #WaziriMkuu au #MakamuWaRais ningejiuzuru ili Rais atimize malengo yake.๐๐คฃ๐คฃ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
Ni mtazamo tu.