@godbless_lema kaka huyu jamaa hata muongee vp ni shida kumchafua . unajua kwanini aligusa maisha ya watanzania kwa hali ya chini kwa asilimia 80 . wakati wake bei ya chakula ilishuka sana na helq ilipata thamani
@jwise017 fungu la 10 ni mahususi kwa Mungu ila Mungu hataki pesa yako. unazowapa wachungaji wao wananunulia machines na kuanza kuwasema. tafuta kituo cha watoto yatima angalia wanashida gani , tatua kwa hilo fungu la kumi
@privaldinho kuna ile kauli ya Mwalimu Nyerere juu ya Upumbavu na Ujinga , ebu itafute alafu jitathimini. Simba imeenda kwenye mashindano ikitokea kwenye ligi ipi? alafu wanaume wakiongwa mvulana kaa kimya
@Eric__Bernard kwa maandishi hayo hata vyama vya upinzani havifai kuwepo . na kama hivyo hata Nyerere na Mandela walikosea sana kupinga zile serikali za wakati huo maana zilikuwa chini ya mamlaka ya Mungu. Tafakari
@420Cousin@MarekaMalili sasa kama note kubwa inatumika sana ujue kuna ttz . na uchumi kama umefunguka kama unavyosema basi hata hiyo note isingetumika maana biashara kubwa kubwa asifanyike kwa cash ni cashless na lingine zingatia matumizi ya note ufanyika kwa watu wa hali ya chinj
@Sativa255 Tumpongeza sana Mhe Raisi lakini isifike kwenye imani. Huyu kijana atakutana na Mola wake na yeye atamueleza zaidi hiyo sala alifundishwa na babu zake ama laah