๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐
๐๐๐ฒ๐น๐ฒ๐ธ๐ฒ๐ฎ ๐ ๐ถ๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ฏ๐ฌ+ ๐๐ฎ ๐๐ฒ๐ถ๐ท๐ถ๐ป๐ด: ๐๐๐๐๐จ๐ ๐๐๐๐ผ๐ธ๐ผ๐บ๐ฒ๐๐ฎ ๐จ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐น๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ท๐ถ๐ป๐๐ถ๐ฎ!
Vijana 100 wamejitokeza katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuunga mkono juhudi za kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa kutia saini na kuonyesha dhamira yao.
Lengo letu? Kujenga jamii yenye usawa, haki, na heshima kwa kila mtu. Je, umechagua kutokomeza ukatili wa kijinsia leo?
@IrlEmbTanzania@IEAmbDar@UNFPATanzania@UZIKWASA
#siku16zakupingaukatiliwakijinsia #ChaguaKujengaUsawa #feminahip #ubaounatembea
@iboysean Kuna vijistori vya ABC nilikuwa navukubali sana.
Hata hivyo baada ya kusoma sana makala za Hassan Bumbuli ndio nikaanza kuandika na kupenda makala.
Ilikuwa msaada mkubwa sana
@iboysean Inapendeza kuona feedbacks kama hizi. Jadida la Fema lipo online kupitia website ya @FeminaHip ambayo ni https://t.co/JWzkfJSrIZ na pia, shule zenye Fema Clubs zinapokea majarida kila yanapochapishwa.
Haya majarida yalikuwa yanatupa entertainment & education in a package
Ukipata hili unasoma kila herufi mwanzo mwisho
Uwasilishaji humu ulikuwa Top notch
Ubunifu wa hali ya juu
These magazines saved lives, zimebakisha watu mashuleni sana pia
INSPIRATION tumezipata humu sana
Ukizungumzia IMPACT kwenye maisha ya watu haya majarida ndo yameacha IMPACT bwana
Tumekodishana sana shule haya ingawa ni โHALIUZWIโ ๐
I donโt know kama yanaendelea haya ila niliota kuwa part of these works of GOD mda sana
Letโs digitalize these things aisee
Ifuatayo ni List ya Wasanii, na Watu maarufu Tanzania,
Ambao leo wameamua kuingia mtandaoni na kusimama na watanzania wengine Juu ya sakata hili lililomkuta Binti wa Kitanzania
Na haya ndio waliyoyasema!!
Mtanisaidia kuniambia nilie msahau.
Screenshots kwa Comments๐๐พ
Hatuwezi kukubali kuona haki ikipotea; tunataka hatua ichukuliwe dhidi ya ukatili uliofanywa kwa binti huyu, ili kulinda utu na heshima ya Taifa letu.
#JusticeforBinti@SuluhuSamia@Dr_DGwajima@tanpol
Shirika la Femina Hip linalaani vikali kitendo cha kikatili cha unyanyasaji wa kijinsia kilichoripotiwa kumhusu msichana mmoja kutoka Dar es Salaam.
Sisi kama wadau wa haki za binadamu tunatafsiri kitendo hiki kama mauaji na tunatoa rai kwa Jeshi la Polisi @tanpol kutumia mikakati yote ya kuwachukulia hatua stahiki wahusika.
Vile vile, tunakemea vikali kuendelea kusambazwa kwa video hizi zinazoendelea kumfedhehesha binti huyu.
@Dr_DGwajima@maendeleoyajami@tanpol
#feminahip